Picha: Diamond kurekodi na Yemi Alade kwenye Coke Studio Africa

Diamond Platnumz amerejea tena kwenye msimu wa pili wa kipindi cha Coke Studio Africa na awamu hii atatangeneza pair na hitmaker wa Johny, Yemi Alade kutoka nchini Nigeria.

923769_313386838842911_1485292912_n
Diamond na Yemi Alade

Diamond ni msanii wa nne mwaka huu kutoka Tanzania aliyeshiriki kwenye kipindi hicho kinachorekodiwa jijini Nairobi, Kenya. Wengine ni Vanessa Mdee aliyerekodi na Burna Boy wa Nigeria, Joh Makini aliyerekodi na Chidinma wa Nigeria na Shaa aliyerekodi na Jacky Chandiru wa Uganda.

10597433_747211775316667_1562625160_n
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Yemi aliyekuja nchini mwaka huu ameweka picha akiwa na Diamond katika studio hizo na kuandika: #wonderment! With the infamous ubertalented six-abbs superstar Diamond…[email protected] #iAmHumbled #thankYouCokeStudio, ForThe Opportunity God bless AFrica.. #cokeastudioafrica @cokestudioafrica @dresomes Nosa @chocolatecity Diamond has been singing your song all morning @audumaikori.

Naye Diamond katika picha akiwa na mrembo huyo ameandika:

Na dem ake Johny @yemialade , ushaelewa nini kinaendelea si eti????….. (jus me and Johny’s Girlfriend…You allready know what it is ryt???… Cc @yemialade
10693594_509495499186502_526162311_n
Diamond na Yemi Alade wakipewa maelekezo

Related Articles

Back to top button