HabariPicha

Picha: Dkt. Slaa alivyoapishwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Sweden

Rais John Magufuli amewaapisha mabalozi wa Tanzania katika katika nchi za Nigeria na Sweden Ikulu Dar es Salaam leo.


Rais John Magufuli akimuapisha Dkt. Wilbrod Slaa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden Ikulu jijini Dar leo.

Rais Magufuli akimuapisha Muhidin Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Ikulu jijini Dar leo.

Picha zote na Ikulu

Related Articles

Back to top button