PICHA: Inaelezwa zaidi ya wakazi laki nne Kenya wanakabiliwa na baa la njaa

Serikali ya Kenya wiki iliyopita ilitangaza ukame kama janga la kitaifa, huku majimbo ya Kilifi, Kwale, Tana River na Lamu yakiwa miongoni mwa maeneo ambayo yanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula kwa sababu ya ukosefu wa mvua.

Related Articles

Back to top button