HabariPicha

Picha: Makamu wa Rais, Waziri Ummy watembelea Hospitali ya CCRBT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Mama. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wametembelea hospitali ya CCRBT Dar es Salaam.

Katika ziara hiyo Makamu wa Rais amesema huduma za afya ya Mama na Mtoto kwa Mkoa wa Dar es Salaam imefikia asilimia 80 ukilinganisha na miaka ya nyuma iliyopita.Related Articles

Back to top button