Mitindo

Picha: Mastaa wa Bongo waliobamba kifasheni mwezi wa Ramadhani 2018

Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani umekwisha, na ninatumai Sikukuu ya Eid ilikuwa njema. Na leo Bongo5 inakuleta baadhi ya mastaa waliopendeza zaidi katika mfungo huo wa mwezi mtukufu wa mwaka 2018.

Mastaa hao ni;- Wema Sepetu, Diamond Platnumz, Hmaisa Mobetto, Shamsa Ford, Irene Uyowa Dogo Janja, Vj-Penny, Lulu Diva na Fid Q.Hao ni baadhi yao kutoka kiwanda cha muziki wa Bongo Flava na filamu, kigezo kilichotumika kuwapata ni kutokana na futari mbalimbali zilizofanyika ambazo waliudhuria na photoshoot walizofanya.

Related Articles

Back to top button