HabariMichezo

PICHA: Polisi Dubai watumia magari ya kifahari kwa doria

Nchi nyingi zimekuwa zikitumia magari ya kawaida sana katika idara ya Polisi lakini hilo ni tofauti kabisa katika jiji la Dubai.

Polisi wa mji huo wa Falme za Kiarabu (UAE) hutumia aina zaidi ya 10 ya magari ya kifahari katika shughuli zake za kawaida mitaani ikiwa ni pamoja na doria.

Magari hayo ya kifahari yanayotumiwa kwenye doria yamekuwa kivutio kikubwa Duniani kote.

Mwishoni mwa mwaka jana polisi mjini Dubai walidai kuwa wanaongeza aina jipya la gari lenye kutumia umeme.

Haya ni baadhi ya magari yanayotumiwa na polisi kwenye kazi za doria Dubai.

1> Lamborghini Aventador
2> Bugatti Veyron
3> Audi R8
4> Ferrari FF
5> BMW i8
6> Mercedes-Benz SLS AMG
7> Aston Martin One-77
8> Hongqi E-HS9
9> Brabus G-Wagen
10> W Motors Ghiath Smart Patrol
11> Bentley Bentayga
12> Lamborghini Urus
13> Nissan GT-R
14> Lexus RC F
15> Porsche Panamera S E-HybridImeandikwa na @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents