HabariPicha

Picha: Rais Magufuli na Mkewe washiriki ibada ya Majivu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli pamoja na Mkewe, Mama Janeth Magufuli wameshiriki ibada ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph. Ibada hiyo imeongozwa na Askofu Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button