BurudaniDiamond PlatnumzPicha

Picha: Warembo wa Nairobi wapagawisha na Diamond jukwaani

Msanii wa muziki Bongo, Diamond Platnumz siku ya jana, March 9, 2018 alikuwa na show Nairobi nchini Kenya.

Katika show hiyo iliyojulikana kama Safaricom Private Party, Diamond alienda sawa na mashabiki wake jukwaani ila warembo kutoka jijni humo walionekana kumpatia zaidi muimbaji huyo kutoka WCB kitu ambacho kilileta burudani ya aina yake kwa waliohudhuria.


Photo Credit: WCB

Related Articles

Back to top button