Habari
Picha za Matukio Mazishi ya Meja Jenerali Charles Mbuge

Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Charles Mbuge (Mstaafu) aliyewahi kuwa Mkuu wa JKT na Afisa Mtendaji Mkuu SUMAJKT mwaka 2019 hadi 2021, umezikwa leo hii Oktoba 17,2024 Mkoani Mara.
Marehemu Meja Jenerali Charles Mbuge (Mstaafu) alifariki dunia tarehe 12 Oktoba 2024 nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu
Credit by #abbrah255