Picha

Picha zaidi ya mmoja wa wanaume waliofukuzwa Saudi Arabia kwa kuwa handsome kupitiliza

Wakati kuna faida nyingi za mwanaume kuumbwa handsome, wanaume watatu raia falme za kiarabu, UAE, wamejikuta wakitimuliwa nchini Saudi Arabia kutokana na kuwa handsome kupitiliza.

540043_499497503433985_1130306437_n

Mamlaka za nchini humo zilifikia uamuzi huo kwa hofu kuwa uhandsome wa jamaa hao ungesababisha shida kwa wanawake wengi ambao wangeishia kuwapenda.

733859_518860451497690_466225995_n

547681_529127780470957_1512443858_n

536921_506308802752855_562349342_n

522009_532014383515630_968331064_n

382246_505476986169370_1319833501_n

72109_531698953547173_1035378811_n

59252_527424547307947_1442264352_n

46869_497939216923147_810179583_n

Omar Borkan Al Gala ni mmoja wa wanaume hao na hizi ndio picha zake. Swali kwa wasichana, unaweza kumkataa mpenzi wako wa sasa kwa uhandsome wa jamaa huyu?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents