Pierre kuhusu kumpa korosho Waziri Mkuu, amenilipa yote ni mipango ya Mungu hakuna wa kupangua (+Video)

Mchekeshaji na mjasiriamali Pierre Liquid ameeleza kuwa yeye kuendelea kukutana na Waziri Mkuu na kila anapokutana nae huwa anamtambua na kumuita jina ni mipango ya Mungu hakuna wa kupangua.

Kuhusu kumpa zawadi ya Korosho ameeleza kuwa baada ya kumpa zawadi ile Waziri Mkuu alimwambia msaidizi wake kuwa wasiondoke bila kulipa.

Related Articles

Back to top button