Michezo

Pigo, CAF yaufungia Uwanja wa Mkapa

DUH!! Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeufungia kwa muda Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kutokana na eneo la kuchezea (pitch) kuendelea kupungua ubora wake.

.
CAF imeelekeza eneo hilo liboreshwe haraka kufikia viwango vinavyotakiwa ili kuepuka Uwanja huo kufungiwa kwa muda mrefu.
.

Ili kuondoa usumbufu, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetakiwa kutuma jina la uwanja mbadala utakaotumiwa na Simba katika hatua ya Robo Fainalia ya Kombe la Shirikisho Afrika.
.
UMEGUNDUA nini hapo Mdau ..!!

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents