Updates Mwamuzi wa kati Saad Mrope atachezesha mechi ya leo ya Ligi Kuu ya Nbc kati ya Yanga dhidi ya Namungo Fc. Mechi itapigwa KMC Complex saa 10 jioni.