Bongo5 ExclusivesHabariMichezo

Pogba apokelewa Guinea kifahari

Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United akiitumikia timu ya taifa ya Ufaransa @paulpogba yupo katika jiji la Conakry nchini Guinea ambapo ndio mara yake ya kwanza kutua nchini humo.

Pogba ni mzaliwa wa Ufaransa lakini asili ya wazazi wake ni Guinea, tupo nchini humo kama sehemu ya kutembelea asili ya wawazi wake.

Siku ya jana akiongozana na mama yake pamoja na baadhi ya watu wengine alitua nchini humo na haya ndio yalikuwa mapokezi yake.

NB: Pogba kwa sasa ni mchezaji huru na tayari Manchester United wametangaza kuachana naye na baadhi ya klabu kama Juventus, PSG na Real Madrid zinaelezwa kumuwinda kiungo huyo la level za juu.

Related Articles

Back to top button