MichezoVideos

Polisi 0 – 0 Simba| Mzee wa Utopolo atema cheche dakika 3 bila kumeza mate (+Video)

Kufuatia sare ya bila kufunga aliyopata Simba dhidi ya Polisi Tanzania waliokuwa katika dimba lao la nyumbani, Ushirika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliyopigwa leo Aprili 10, 2022.

Mshabiki wa Yanga maarufu kwa jina la Mzee wa Utopolo amewawashia moto watani wao Simba kufuatia matokeo hayo yanayoongeza wigo mpana wa point dhidi ya vinara wa ligi Young Africans.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents