Habari
Polisi na Bodaboda mambo ni shwari

BODABODA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe

amewataka bodaboda mkoani humo kuzingatia na kutii sheria za usalama barabani ili kuepusha ajali zinazoweza kuepukika.
Imeandikwa na Mbanga B.