Timu ya Simba imetoka sare ya goli 2-2 dhidi ya Power Dynamos kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba wamepata mabao hayo kupitia kwa staa wake Clatous Chama ‘Mwamba wa Lusaka’