HabariTechnology

Pre-Order TECNO CAMON 19 sasa upate punguzo la bei na zawadi kem kem

PRE-ORDER TECNO CAMON 19 SASA UPATE PUNGUZO LA BEI NA ZAWADI KEM KEM

TECNO kwa kushirikiana na INALIPA inakuwezesha kuwa miongoni mwa wamiliki wa kwanza wa TECNO CAMON 19 mara baada ya kufanya PRE-ORDER kutoka katika tovuti ya INALIPA https://www.inalipa.co.tz/stores/tecno na ujipatie punguzo la bei la 5% na zawadi kem kem ikiwemo spika ya Bluetooth, power bank, tiketi ya sinema na t-shirt ya CAMON 19.

PRE-ORDER TECNO CAMON 19 SASA inayopatikana kwa bei mbalimbali;
⦁ CAMON 19 (128+4): 427,000
⦁ CAMON 19 (128+6): 484,500
⦁ CAMON 19 PRO (256+8): 627,000
⦁ CAMON 19 PRO 5G: 750,500

Mara baada ya kufanya PRE-ORDER utaweza kuchagua njia ya kulipa, aidha kupitia mitandao ya simu na kadi za benki au kulipa baada ya kupata simu.

TECNO CAMON 19 ambayo ilizinduliwa rasmi jijini New York, Marekani mnamo Juni 14, 2022, ina sifa kabambe ikiwemo:

The RGBW+G+P Sensitive Lens for 64MP Bright True-Tone Night Portrait
Pamoja na kamera yake ya 64MP na lensi ya kioo ya RGBW, CAMON 19 imekuja na viwango vipya vya kupiga picha angavu na halisia kwenye mazingira ya mwanga hafifu.

Teknolojia hii inatumia mfumo wa sensor ambao unaruhusu utoaji wa kipekee wa mwanga, pamoja na lensi ya kioo ambayo huongeza kiwango cha mwanga kwa zaidi ya 208% na kuongeza kwa kiasi kikubwa mwangaza wa picha. The 0.98mm Slimmest Bezel, Dazzling Backshell with 200 million stars

TECNO CAMON 19 imekuja na bezel nyembamba sana ya 0.98mm, inayozunguka inchi 6.8 FHD+. Teknolojia hii inampa mtumiaji uzoefu maridadi kabisa wa simu hii. Urembo wa almasi wa nyota milioni 200 unazidi kuipa simu ya TECNO CAMON 19 muonekano maridadi na wa kuvutia.

Tembelea: https://www.inalipa.co.tz/stores/tecno
Kwa maelezo zaidi piga 0744 545 254 au 0678 035 208.

Related Articles

Back to top button