Michezo
Prince Dube amalizana rasmi na Azam

UPDATE: PRINCE DUBE – Mshambuliaji ambaye ni raia Zimbabwe, Prince Dube amekamilisha kulipa fidia zote alizokuwa akidaiwa na Azam ili akatafute changamoto sehemu nyingine. – Mshambuliaji Prince Dube anasubiri barua ( ITC ) kutoka Azam baada ya kukamilisha malipo hayo.