Burudani

Producer Abbah: Wasanii wanazingua sana, ukiwaambia njoo tusaini mikataba wapiga chenga (Video)

Mtayarishaji wa muziki @abbah_process amefunguka kwa kudai kwamba kuna wakati wasanii ambao anawaandalia beat wanakataa kusaini mikataba ambayo itamfanya na yeye anufaike na kazi zake. “Wasanii wanazingua sana, hawajui nafasi zao, tena hawaheshimu biashara za watu,” alisema Abbah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents