Siasa
Prof. Adolf Mkenda waziri mpya wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
Rais Samia Suluhu Hassan amemuhamisha Prof. Adolf Mkenda kutoka Wizara ya Kilimo kwenda Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.