Habari

Prof. Assad alivyotema madini kwa TAMPRO (Video)

Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Assad amewataka TAMPRO Taasisi ya Wanataaluma wa Kiislamu nchini kuwa chachu ya maendeleo kwa Waislamu Tanzania kwa kuibua fursa mbalimbali ambazo zitaikomboa jamii hiyo.

Akizungumza katika mkutano Maalum ya TAMPRO, Prof Assad amesema taasisi hiyo ikiamua kufanya kazi ipasavyo itawakomboa waislamu wengi kiuchumi huku akitolea mfano fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo zinapatikana mkoani Morogoro.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents