AfyaBongo5 ExclusivesHabari
Prof. Jay atoka Hospitalini
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Hospitali ya Muhimbili wameandika kuwa “Msanii Joseph Haule (Prof.Jay) jana ameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kupatiwa matibabu kwa siku 127 na Afya yake kuimarika
Reposted from @muhimbili_taifa