Promota aliyetegwa na Diamond akufungaka thamani ya Diamond ‘Nikiwa na tsh milioni 60 naweza kuomba atafanye show’ (Video)

Promota @arbaabmb ambaye alionekana kwenye clips akiwa na @diamondplatnumz wakizungumza kuhusu ujio wa show ya @mbosso_ ya Tanga na baadae rais huyo wa WCB kumuambia promota huyo kama akimridhisha basi na yeye atakuwepo kwenye show hiyo. Promota huyo amesema atajaribu, ila ili Diamond pekee awepo kwenye show hiyo ukiachana na thamani ya Mbosso anatakiwa kuwa zaidi ya tsh milioni 60. Amedai kuna wakati aliandaa show ya Arusha mwaka 2018 kwaajili ya Diamond lakini Diamond alikataa tsh milioni 35.

Related Articles

Back to top button