Aliyekuwa kocha wa klabu ya PSG ya Ufaransa Muargentina Mauricio Pochettino amefungishwa virago na klabu hiyo mapema leo.
Pochettino ambaye ameitumikia klabu hiyo kwa miezi 18 na yote haya yanakuja kutokana kutokufikia malengo waliyowekeana na mabosswa klabu hiyo.#Bongo5Updates