Bongo5 ExclusivesHabariMahojianoMichezo

Rabi: Niliandamwa mitandaoni nikifananishwa na yule wa Yanga nikiambiwa sina ubunifu wakati ule wa utambulisho wa wachezaji

Akizungumza na Bongofive mpiga picha huyo ambaye pia anaendesha mitandao ya kijamii ya klabu ya Simba Rabi Hume ameeleza ni kwa namna gani mashabiki wa Simba walivyosumbua kwenye mitandao kutaka jezi mpya.

“Asilimia 90 ya comment zote zilikuwa zinaulizia jezi, sikuwajibu ila nilikuwa najua jezi lini zinatambulishwa, ni haki yao kuuliza kwahiyo sikuwa na namna yoyote”

Mbali na hilo amefafanua namna alivyofananishwa na mpiga picha wa yanga akiambiwa hana ubunifu wakati wa utambulisho wa wachezaji.

Rabi pia amezungumzia kuwa kuwa suprise kubwa sana siku ya Simba day akitia na utani kuwa kuwa timu ilisema kuwa ina suprise kumbe uongo “Hata admin wao ni Simba kwahiyo aliiga kwetu:”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents