Mahojiano
Rado:Steve Nyerere sio msanii bali ni shabiki na mchekeshaji(Video)
Kwenye mahojiano yake na @el_mando_tz @radomanking amesema kwa upande wake hajawahi kuona kama @stevenyerere2 ni msanii serious wa Bongo Movie.
Yeye anaona @stevenyerere2 ni mchekeshaji na ni shabiki wa wasanii wa Bongo Movie na Wasanii wa Bongo Fleva.
Anaongeza kuwa yeye amesoma na @stevenyerere2 darasa moja huko Tabora na anamjua vizuri.
Mahojiano yote ya @el_mando_tz na @radomanking yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.