HabariMichezo

Rage aipa Yanga Ubingwa, ataja sababu

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Simba SC, Aden Rage amekubali kiwango bora walichonacho watani zao Yanga SC bila kupepesa maneno.

“Sikufichi Yanga SC kwa sasa kwenye timu za Ligi Kuu wapo vizuri kuliko timu yoyote huo ndiyo ukweli.”- Aden RageYa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents