Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Askofu Mhashamu Castory

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Mhashamu Tercisius Ngalalekumtwa kufuatia kifo cha Askofu wa Jimbo Katoliki la Tunduru Masasi Mhashamu Castory Msemwa, kilichotokea, Oktoba 19 mwaka huu nchini Oman. Soma taarifa kamili: