Tia Kitu. Pata Vituuz!

Rais Magufuli “Ikulu ya Dodoma inaweza kuwa na eneo kubwa kuliko Ikulu zote duniani” – Video

Rais Magufuli "Ikulu ya Dodoma inaweza kuwa na eneo kubwa kuliko Ikulu zote duniani" - Video

Rais Magufuli akiongelea kuhusu Ikulu mpya ya jijini Dodoma “Hata Ikulu ya Dar es Salaam…ilivyo hivyo hivyo…tumeshaanza kuijenga humu ndani (Chamwino – Dodoma) kwa kutumia wataalam wetu. Tulipohamia hapa,wapo watu na mataifa mengine yalikuja yakiomba yatujengee ikulu…nilikataa…Maana yake Ikulu ingekuwa wazi…”

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW