Habari
Rais mstaafu Jakaya Kikwete afika nyumbani kwa Mengi, awataka Watanzania kuwa watulivu na kuache kuzusha taarifa za uongo kuhusu marehemu (+Video)
Rais mstaafu Jakaya Kikwete afika nyumbani kwa Mengi awataka Watanzania kuwa watulivu na waache kuzusha taarifa za uongo kuhusu marehemu (+Video)

Mzee Kikwete awataka Watanzania kutulia na kuacha uongo kuhusu kifo cha Dkt Mengi. ”Tuachane na uongo tusubiri ukweli, ukweli tutaupata alifariki Dubai mdogo wake alikuwepo kwa hao ndiyo wenye ukweli. “Mnayosoma nadhani kwa sasa hebu yaacheni, tusubiri watakapo rudi wale watatuambia nini hasa kilichotokea.”
By Ally Juma.