Rais Samia aalivyopokea kifimbo cha malkia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, apokea Kifimbo cha Malkia (Queen’s Baton Relay) kama ishara ya uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola, wakati kilipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 13 Novemba, 2021.

 

Related Articles

Back to top button