Habari
Rais Samia aandaliwa dhifa ya kitaifa Oslo Norway

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameshiriki dhifa ya kitaifa katika Kasri la Kifalme pamoja na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.


