Habari

Rais Samia aanza ziara Vatican, kukutana na Papa Francis

Rais wa Tanzana Samia Suluhu Hassan leo Februari 12,2024 anafanya ziara ya kikazi Vatican ambapo pamoja na mambo mengine atakutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa Kanisab Katiliki duniani baba Mtakatifu Papa Francis.

Hata hivyo inaelezwa kuwa baada ya mazingumzomo hao, Rais Samia atakutana na Kadinali Pietro Parolin ambaye ni msaidizi Mkuu wa Papa Francis kwenye serikali ya Vatican pamoja na Askofu Paul Gallagher, Waziri wa Mahusiano ya kimataifa na Vatican.

Rais Samia anafanya ziara hiyo Vatican kufuatia kupokea mwaliko wa Papa Francis na katika ziara hiyo amefuatana na wawakilishi wa waumini wa kanisa katoliki kutoka Tanzania

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents