HabariSiasa

Rais Samia ajibu comment ya Mwanannchi wake aliyemuomba amletee zawadi ya Cherehani

Huenda ikawa siku bora kabisa kwenye maisha yake kwa Beatrice baada ya comment yake kujibiwa na Rais wa Jamuburi ya Muungano wa Tanzania Mhe. @samia_suluhu_hassan

Baada ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusafiri kwenda Indonesia kwa ziara ya kikazi Beatrice amecomment akimtakia Rais safari njema na kumuomba amletee zawadi ya Cherehani.

Betrice ameandika hivi:

“Sawa mama. Ukiwa unarudi numbani naomba uniletee zawadi ya Cherehani.”

Rais akajibu kwa kusema kuwa “

@beatrice_only1 Hujambo, Beatrice?
Nimepata wasaa wa kuusoma ujumbe wako.
Hongera kwa kazi na kujituma. Wasaidizi wang watawasiliana na wewe kukusaidia
upate mashine uliyoomba kwa shughuli zako. Nakutakia kila la kheri.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents