Siasa

Rais Samia alivyowamwagia sifa Diamond, Alikiba, Nandy, Zuchu na Rosa Ree kutajwa AFRIMMA (+ Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za kuwapongeza wasanii wa BongoFlava Diamond Platnumz, Alikiba, Nandy, Rosa Ree, Marioo na Zuchu kwa kuchaguliwa kuwania tuzo za AFRIMMA 2021.

Rais Samia amewapongeza wasanii hao 6 katika Uzinduzi wa Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa kupambana na Uviko19 kwa kusema tuwape moyo, tuwaunge mkono na tuwapigie kura kwa wingi ili kuweza kushinda tuzo hizo.

Pia amempongeza bondia Hassan Mwakinyo na timu ya wanawake Twiga Stars kwa kuchukua ubingwa wa COSAFA siku ya jana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents