Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi mstaafu Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA)
Uteuzi huo ni kuanzia june 30 2022.#Bongo5Updates