Habari

Rais Samia amuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Hamza Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Emanuel Nchimbi katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Saidi Johari, mara baada ya tukio la uapisho, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.
Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Hamza Saidi Johari, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 05 Novemba, 2025.

Written by Janeth Jovin

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents