Habari

Rais Samia azindua rasmi safari za treni ya SGR

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi safari za treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma.

Rais Samia amefanya uzinduzi huo leo Agosti Mosi, 2024 katika Stesheni ya SGR jijini Dar es Salaam, shughuli hiyo imeshuhudiwa na viongozi mbalimbali, wasanii na wananchi kutoka sehemu tofauti tofauti nchini.

Hata hivyo Rais Samia mara baada ya kuzindua amesafiri na treni hiyo kuelekea mkoani Dodoma.

Written by Janeth Jovin

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents