Habari
Rais Samia kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi za siasa, Ulinzi na Usalama SADC
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi za Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Rais Samia anapokea uwenyekiti huo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Zambia, Hakainde Hichilema anayemaliza muda wake.
Written by Janeth Jovin