Siasa
Rais Samia: Kweli Harmonize Tembo kwa kifua kile (+ Video)

“Nimemuona pia Konde Boy Tembo hapa (kwenye orodha ya Wasanii waliotoa burudani) na kwa kifua kile cha Harmo kweli yeye ni Tembo, –
Rais Samia leo wakati akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa, Arusha.