Habari

Rais Samia na Rais wa Koica wazungumza namna ya kuendeleza ushirikiano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA), Chang Won Sam.

Mazungumzo hayo yamefanyika leo Juni 4, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa Kintex, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea  ambapo wamezungumzia namna ya kuendeleza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo na maeneo mapya ya kuwekeza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) Bw. Chang Won Sam katika ukumbi wa mikutano wa Kintex, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024 ambapo wamezungumzia namna ya kuendeleza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo na maeneo mapya ya kuwekeza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) Bw. Chang Won Sam katika ukumbi wa mikutano wa Kintex, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) Bw. Chang Won Sam katika ukumbi wa mikutano wa Kintex, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024 ambapo wamezungumzia namna ya kuendeleza ushirikiano katika miradi mbalimbali ya maendeleo na maeneo mapya ya kuwekeza.

Written by Janeth Jovin

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents