Bongo5 ExclusivesFahamuHabariSiasa

Rais Samia na viongozi wa ACT Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo baada ya mazungumzo yao katika utaratibu wake wa kawaida wa kukutana na Vyama vya Siasa Nchini tarehe 28 Juni, 2022 Ikulu Jinini Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button