Habari

Rais Samia Suluhu aanza ziara ya siku tatu Mwanza

Katika siku ya kwanza, Rais Samia Suluhu Hassan atazindua Kiwanda cha Kusafisha Madini ya Dhahabu cha Mwanza, pia atafungua jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Kanda ya Ziwa.

Jumatatu, Juni 14, Rais Samia atakagua ujenzi wa Daraja la JPM eneo la Kigongo-Busisi, kuzindua mradi wa maji wa Nyahiti, Misungwi pamoja na kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa SGR.

Jumanne, Juni 15 Rais atakamilisha ziara yake kwa kuzungumza na vijana wa Mwanza katika uwanja wa Nyamagana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents