Rais Samia Suluhu akiuaga mwili wa Chrisant Majiyatanga Mzindakaya

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aongoza viongozi kuaga mwili wa Mwanasiasa mkongwe marehemu Chrisant Majiyatanga Mzindakaya katika Kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2021.

Related Articles

Back to top button