Siasa
Rais Samia Suluhu azungumza kwa njia ya mtandao na mtendaji mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell yenye Makao Makuu yake Nchini Uholanzi Bw. Ben Van Beurden, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 04 Octoba 2021.