Rais Samia Suluhu azungumza kwa simu na rais wa Benki ya Maendeleo Afrika Dkt. Adesina Akinwumi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu masuala mbalimbali ya Kimaendeleo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Adesina Akinwumi ambaye alikuwa akizungumza kutokea Makao Makuu ya Benki hiyo Abidjan nchini Ivory Coast leo tarehe 11 Juni, 2021.

Related Articles

Back to top button