Rais Samia Suluhu: Kuhusu bando, mkalishughulikie, wananchi walipiga kelele mkalituliza (+ Video)

“Kuhusu suala la mabando kulizuka rabsharabsha juzi hapa, Wananchi wakapiga kelele mkalituliza, kalifanyieni kazi lisizuke namna ile mpo mnaangalia hawa Watu wanakuja tu na mambo yao mpaka Wananchi washtuke na nyie ndio mnashtuka, kakaeni nao” – Rais Samia Suluhu Hassan.

Related Articles

Back to top button