Rais Samia Suluhu: Makampuni yanafungwa sio uongo, mwekezaji ana haki ya kuweka anayemuamini (+ Video)

“Makampuni yanafungwa sio uongo kutokana na kero wanazokutana nazo wawekezaji, waacheni ‘wa-enjoy’ kufanya biashara Tanzania“Kibali cha Kazi limekuwa janga, wahusika mnajikuta miungu watu.

Mnasumbua wawekezaji mnalazimisha aweke Mtanzania kila mwekezaji ana haki ya kuweka mtu anayemuamini yeye”

Related Articles

Back to top button