Rais Samia Suluhu: Mkeyenge wewe ni kijana mimi ni mama ukinizingua tutazinguana kafanye kazi (+ Video)

“Mkeyenge nimekuteua kuwa Mkuu wa Wakala wa Meli Tanzania (TASAC), ulikuwa TASAC unaijua vizuri karekebishe madudu yenu, moja kubwa ambalo limenichukiza sana kwa mwaka mmoja mmefanya vikao 23 vya Bodi na mmetumia karibu Milioni 600 na kitu kwa vikao vya Bodi tu”

“Mkeyenge ni Kijana nimekunyanyua wewe ni Kijana ukafanye kazi Wakala wa Meli (TASAC), hapa nitatumia ule msemo wa Aweso, wewe ni Kijana Mimi ni Mama ukinizingua tutazinguana, kafanye kazi pale na sio kwenda kunyanyua mabega kwa wenzio” – Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kuwaapisha Viongozi wapya Ikulu Dar es salaam leo.

Related Articles

Back to top button